ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  2. JamiiForums Tanzania Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024. CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura muibe kama alivyokiri DC Ng'umbi, je, huko maporini huwa mnafanya vitu gani au huwa mnawapoteza wagombea?

    Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi? Ila nyie hata shetani inabidi aje kuchukua mafunzo...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido. Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi...
  5. JamiiForums Tanzania Mpya: Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

    Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni; 1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM 2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi 3. Ado Shaibu ACT Wazalendo 4. Ahmad...
  8. JamiiForums Tanzania Tukumbushane kuelekea chaguzi 2024/ 2025 kuwa CCM ni ile ile na chama ni kile kile ,chaguo ni lako .

    kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi . nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana maneno matamu au vyama vya upinzani kutuambia uzuri au ubaya wa CCM .
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

    CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo* _Tumeona nchi Kama Marekani...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

    Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu. 1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi 2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda") 3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE 4...
  11. P

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima akiongelea kuhusu utekaji wa wananchi

    Hatimaye Roho Mtakatifu asema na Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya Ufufuo na Uzima Tanganyika na duniani kuhusu watu na wanaharakati wakosoaji wa sera na mipango ya serikali, CCM na hususani Rais Samia Suluhu Hassan kutekwa, kuteswa kisha wengine kuuwawa na kutupwa kama mizoga ya panya...
  14. JamiiForums Tanzania Siri za Wazi: CHADEMA sio perfect kama vile CCM isivyo perfect

    Salaam! Nafurahi kuwaona tena wengi wenu mkiendelea kujadili na kuchambua mambo mengi – hasa siasa. Naendelea kuipongeza JF kwa kuendelea kuwa Jukwaa bora na huru kwa mambo ya kisiasa katika nchi yetu, licha ya changamoto nyingi ambazo imepitia. UTANGULIZI Kwanza kabisa nitambue uwepo wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya Kati: Siri ya Ushindi wa Kishindo wa CCM Kila Uchaguzi

    kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana za uhakika na za kishindo kwa CCM. Katika kanda hii, wapinzani walishaga jikatia tamaa kabisa eneo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

    Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee. Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
  17. L

    JamiiForums Tanzania CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

    Ndugu zangu Watanzania , Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu. Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama...
  18. JamiiForums Tanzania Mbona Telegram haifunguki?

    Wakuu habar za muda huu? Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki. Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi? Ningependa kujua
  19. JamiiForums Tanzania CCM kukutana tarehe 02/ 09

    Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo. Chanzo: CCM
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usajili WanaCCM kielekitroniki mfumo huu ni mzuri sana

    Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama. Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active muda wote - haupaswi kufungwa - usajili unatakiwa kuendelea mpaka mwakani May kabla ya kura za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…