ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  3. JamiiForums Tanzania Yanga inatumika na CCM kufifisha mijadala ya kitaifa

    Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam. Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari. Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi sio CCM sio CHADEMA!

    Nashangaa vijana wadogo bila mlengo wanaosema kuwa siasa haiwahusu! Huwa mnakosea wadogo zangu, Mwanasiasa anaweza amua tu na ukalala mahabusu!
  6. T

    JamiiForums Tanzania 2025 Kampeni zake itakuwa, Nipeni kura nikarudishe nchi mikononi mwenu, huku ni kusema ccm imeturudisha utumwani!

    Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa kwenye Kampeni za 2025, itakuwa ni hilo ndipo yafuate mengine, Hii ni sawa na kusema! Ccm imetuuza...
  7. JamiiForums Tanzania Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
  8. JamiiForums Tanzania Sijaona Mbunge wa CCM anaetoa angalizo kwenye makubaliano ya Bandari na DP

    Kunapo kuwepo na makubaliano ya pande mbili hususani katika minority point of view. Tulitegemea Bunge liwe sehemu ya wabunge kuchambua maelezo ya makubaliano na kuyawakilisha kwa niaba ya wananchi. Lakini cha kusikitisha, leo katika bunge, wabunge wote wa CCM kujikita katika kusifia, ku attack...
  9. R

    JamiiForums Tanzania "Ni bora ukose Mali lakini upate Akili”. Huu usemi kwa Tanzania ni kweli au Shida ni CCM?

    Akili ni kile kinachobakia baada ya kutoa vyote ambavyo umejifunza darasani, na hiki ndio huwa kinakuwa kipimo cha uwezo wa kufikiri. Haishangazi sana kukuta mtu wa darasa la saba na prof likatokea jambo wote wakawaza sawa na kutoa suluhu moja maana yake akili ziko sawa ingawa mmoja ni prof...
  10. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaonesha tobo la kisheria, hayafai hata kidogo

    Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema taifa,japo hakumtaja jina. Hali Iliendelea kwa wachangiaji mpaka ikafikia kutajwa hadharani kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko. Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

    Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV. This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
  14. JamiiForums Tanzania Ni nini msimamo wa CCM kuhusu kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu?

    Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman. Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe? CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya. Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo? Kinachonishangaza ni...
  16. JamiiForums Tanzania CCM Downfall Nears

    The ports issue is an equivocal CCM downfall. Of the all issues irking Tanganyikans this time arround, I think, the port privatisation is the most. For your information, the beginning of downfall of the last freedom fighting legendary party nears, I prophesy. That's the freedom atlast, let's...
  17. JamiiForums Tanzania CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

    Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita. Mwisho...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania CCM bado awajatoa msimamo wao kwenye huu mkataba, maana yake wanasema Bandari ziuzwe

    Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu. Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe. Mara viongozi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai. Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…