ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iunde Dna Database ili kukabili uhalifu sio kutumia pesa za uma kwa anasa na miradi ya kifasadi ya vibopa wa CCM.

    Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma. Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
  2. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  3. JamiiForums Tanzania Jimbo la Igunga Sasa Kujenga Ofisi za CCM

    IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA". Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na zoezi la ujenzi wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Wanachama wa CCM Kata ya...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu unganeni na mimi kuipongeza CCM kufanyia kikao cha kamati kuu ndani ya Ikulu mpya Chamwino.

    Hakuna ubishi wametumia vyema kodi za watanzania kujenga jengo hili. Hakuna ubishi
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  6. JamiiForums Tanzania Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  7. JamiiForums Tanzania Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo. Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
  9. JamiiForums Tanzania Mama Sinyali Boss la Kariakoo

    Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne. Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  11. JamiiForums Tanzania Haya ni matokeo ya mtihani katika shule zinazozalisha wapiga kura wa CCM

  12. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo awasili Geita kuzindua vitega uchumi vya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM mbeLe kwa mbele: Wakati wa wafanyakazi, wanasiasa na wakulima nyie wafanyabiashara mnasema hayawahusu

    Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe. Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu. Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwanachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe. Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama...
  15. JamiiForums Tanzania Taifa la washangilia Misiba na Visasi

    Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na...
  16. JamiiForums Tanzania CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

    Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi kwa jamii ya Watanzania. CCM ina mkakati gani wa kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi na matokeo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

    Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani! Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yetu imedumazwa na CCM au ina Majaji wenye uwezo hafifu?

    Kwenye bandiko hili pale litakapotumika neno Jaji au Majaji ndiyo itajumuisha pia na mahakimu toka mahakama za mwanzo mpaka Mkoa. Sisi kama Taifa tumerithi mfumo wa kale na maarufu zaidi wa kuwa na serikali ya kijamhuri (Republic). Ndani ya mfumo huo kunakuwa kuna mgawanyo wa kimadaraka kati ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati dunia wanaelekea kwenye matumizi ya AI CCM wao wako bize kupambana na CHADEMA

    Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika, nikawaza sisi Tanzania wanasayansi wetu wanasaidiwa vipi na CCM kufanya tafiti mbali mbali kwa maslahi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaosema CCM na ANDAZI mnachagua andazi mmemsikia JACK MA?

    "If you put bananas and money in front of monkeys, monkeys will choose bananas because monkeys do not know that money can buy a lot of bananas. In reality, if you offer a job and business to people, they would choose job because most people do not know that business can bring more money than...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…