ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Chadema, viongozi wenu pia wametokea CCM

    Makamanda baada ya orodha ya wateule ma DC kutoka kila mmoja ameanza kejeli ooh UVCCM wametoswa wamechukuliwa waliounga juhudi. Tatizo liko wapi, kwanza ni Watanzania sio Wakenya. Pili, mbona nyie mlimpa ukatibu mkuu Dk Slaa toka CCM, mkampa Lowassa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ili hali wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza. Kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania George Mketo, amesema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
  3. JamiiForums Tanzania CCM kweli tumebadilika na kuwa chama kinachojali!

    Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja. CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na Ushirikishwaji wa CCM. Awali Mwenyekiti wa CCM alitoa salaam za rambirambi kutokana na msiba huu wa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jafari Kubecha aitaka ACT Wazalendo kuteua vijana makini

    Na Mwandishi wetu, Dodoma Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya upambanuzi katika kujadili na kujibu hoja za kisiasa kwa uyakinifu bila kuingilia mambo ambayo aidha...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliposema atateua vijana naona amewaibua vijana wa CCM kila kona wanashambulia jukwaa waonekane

    Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais. Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka kila Kona ya nchi kutoa matamko na kukemea baadhi ya vitu Jambo ambalo awali kabla ya kauli ya Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  9. JamiiForums Tanzania CCM acheni kuogopa Katiba mpya, inawezekana ikawa ndiyo mwokozi wenu

    Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu iundwe tume huru kila wilaya yenye mchanganyiko wa vyama vyote, hata kwa siku tatu waingie mitaani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
  14. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

    Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake? Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima?

    Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa. Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa. Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima...
  18. JamiiForums Tanzania Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
  19. JamiiForums Tanzania Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

    Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

    Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji. Hivi ni kweli kwamba serikali imeshindwa kubuni mbinu za kuwatafutia ruzuku wakulima wetu hata kwa kukopa toka mabenki mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…