ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM weka alama Tanga

    Mh. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa chama tawala,ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ukiwa ziarani Tanga ninajua sipo nje ya ajenda zako lakini ninakupa dondoo kidogo kwamba kero zilizopo Tanga ni. Migogoro ya ardhi iliyosababishwa na Shigela,Mayeji na kikosi kazi chao cha...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji ni aibu kubwa kwa CCM.

    CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa ya viongozi, Rais Samia njia nyeupe hadi 2030

    Bila shaka wote tunaweza kukubali kuwa CCM ni chama kikongwe duniani na kilichokaa muda mrefu madarakani. Haya yote hayafanyiki kwa bahati mbaya, Bali ni kutokana na hadhina kubwa ya viongozi ambayo imekuwa nayo. Wengi wanasema watanzania hawajielewi ndio maana hadi sasa CCM inaendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Katibu Mkuu CCM akutana na Katibu Mkuu wa CNDD - FDD cha Burundi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma. Katika...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini, mnademka sana na ngoma za CCM

    Assalam wanajamvi! poleni na majukumu ya kila siku ya kujikwamua kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni! Niende moja kwa moja kwenye hoja, neno kudemka lilipata umaarufu miezi kadhaa likiwa na maana ya kucheza sana ngoma inayopigwa, ndugu zangu CHADEMA mnademka sana et sasa mpo huru sasa mnafanya...
  6. JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Ikulu vinakera

    Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

    Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
  8. JamiiForums Tanzania CCM tunapoitwa Chama cha Majambazi tuone aibu tujisafishe, Utetezi wa majambazi si sehemu yetu

    Kama ambavyo wapinzanzani wetu wamekua wakitupachika kina la Chama cha Majambazi kutokana viashiria vya matendo ya wanaccm wachache waliothaminiwa wakapewa nafasi serikali na chama lakini wanaendekeza tamaa, Wizi, unyang'anyi, utapeli, Ubabe, uonevu na uporaji wa mali za watu. Hii siyo misingi...
  9. JamiiForums Tanzania CCM tulifanya kosa kubwa sana 2015, tusirudie tena. Chuki iliyopo ni kubwa sana

    Kuna mambo ambayo wana CCM wenzangu hawataki kabisa kuyasoma wakiogopa pengine kwa kudhani kuwa yatakigawa chama ima yatachochea chuki baina yetu. Waswahili wanasema, unafuga chatu mwisho wa siku anakugeukia na kukumeza wewe. Huu ni usemi ambao ni kielelezo tosha cha ukweli na uhalisia kwetu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Umoja wa Vijana wa CCM

    Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na wenye misingi ya haki, utu na maadili ya kutosha mfano wa ni pamoja na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

    Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy. Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi tuseme ukweli, kati ya CCM na CHADEMA ni nani hasa chama imara cha siasa?

    CCM pamoja na historia ndefu ya kutokea TANU, Pamoja na kwamba ipo madarakani miongo kadhaa, haijui maisha nje ya utawala, bado ni chama dhaifu sana kiasi kwamba hakiwezi kusimama chenyewe bila kubebwa na baiskeli ya wagonjwa ya Polisi, msukumaji usalama wa taifa. Haiwezi kufanya chochote bila...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda Speed sana, Leo eti CCM hawaiamini TAKUKURU wala Mahakama

    Namalizia Wine yangu nirudi nikalale! Nikakukumbuka hili, nikaona wine yangu isiishe bure. Eti MATAGA leo ndio wanailalamikia PCCB, POLICE na Mahakama kuwa "hawamtendei haki" Sabaya! Nikacheka sana sana, hakika kuna nyakati za kulia na kuna nyakati za kuomboleza. Yaani hawa Walioitwa...
  15. JamiiForums Tanzania CCM: Maelekezo ya chama kwa Serikali katika Wizara ya Fedha

    Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Fedha na Mipango ndio kitovu cha mipango yetu ya maendeleo na pia, ndio wizara inayohusika na uwezeshaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Josephine Genzabuke, aishukuru Serikali ya CCM kwa kupata Mkopo wa Sh. Bilioni Laki Tatu

    Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu...
  18. JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri na wazi kuwa hawapingani na CCM bali walikuwa Wanachuki na Hayati Dkt. Magufuli

    Wao kama wao sasa wameridhia CCM ikae madarakani na sasa wanaikubali impliedly. Kwa ni wazi kabisa wanaona CCM haina mbadala wa kuig'oa. Walimuona JPM kama kikwazo kwa siasa zao ndio maana wakawa hawamkubali. Maana kuna mambo yao ya ajabu ajabu aliyadhibiti. Kwa jinsi wanavyokenua na kufurahi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

    Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani, Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI. Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…