ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wapinzani hasa CHADEMA hawana hoja mujarabu kuisurubu CCM

    Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo. CCM isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza...
  2. JamiiForums Tanzania Once CCM,Always CCM

    Kwenu, Nimekuwa nikifuatilia sana tabia za wanasiasa wa Tanzania hasa wanaCCM. Toka enzi za akina Mrema wa NCCR-Mageuzi,kisha TLP lakini akionesha bayana kuwa moyo wake uko CCM,Nsanzugwako,Wasira na wengineo waliokuwa moto wakiwa NCCR-MAGEUZI,kisha wabunge waliokosa ubunge CCM wakakimbilia...
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Minyukano CCM: Ushauri wa bure kwa Bashiru na wenzako kokote kule mliko

    Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe. Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma. Ashukuriwe mola muweza wa yote. Ni ukweli ulio wazi kuwa mh. Dr. Bashiru, Pole pole na vigogo wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Mnyika: Nyalandu na mwenzake ni wasaliti, wameshindwa kuvumilia baada ya mateso ya kuporwa ushindi wa ubunge mwaka 2020

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na mienendo yao waliyokuwa wakiionyesha kwa hivi karibuni. “Hawa ni wasaliti, wamejiongeza wameshindwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

    Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

    Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

    Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana. Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar. Na akimaliza miti hukuja mwilini.
  9. JamiiForums Tanzania Makosa katika historia ya TAA yanayohitaji kurekebishwa haraka

    Historia ya TAA kama ilivyoelezwa na CCM hapo juu inahitaji kusahihishwa. Naweka hapo chini kipande kutoka makala niliyoandika mwaka wa 2019 kusahihisha makala ya Mzee Pius Msekwa kuhusu historia ya TAA: "Katika gazeti la Tazama la leo tarehe 14 Oktoba 2019 kuna makala iliyoandikwa na Pius...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ilishamiri, kwanini watendaji wake wametoswa?

    Mabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia yake. Ilisemekana kuwa katika kipindi hicho, chama hiki kilishamiri vilivyo. Ya kuwa katika kipindi...
  11. JamiiForums Tanzania TUCTA: Kima cha chini cha mshahara kiwe 970,000

    Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake. Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa. Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  13. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nyalandu asitukanwe, kazi aliyoifanya CHADEMA inatosha

    Ni mwanasiasa gani hapa nchini anaweza acha ubunge ndani ya chama tawala akaenda chama cha upinzani ndani ya utawala wa kidicteta? Ni mbunge gani wa CCM angeweza kwenda Kumjulia hali Tundu lissu Nairobi na hata Ubeligiji ndani ya utawala wa Dikteta? Ni mbunge gani wa CCM angeacha chakula na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Mperembaji wa Rushwa kwa uteuzi wenye harufu ya Rushwa

    Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho. Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema amefanya lakiubunifu na lenye tija kwa mkoa huu. Leo hii unamteua akapange mipango ya chama, means...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa Ubunge, Halima na wenzake 18 waliofutwa uanachama CHADEMA wangehamia CCM leo Aprili 30, 2021

    Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa kawaida au wajiunge CCM. Tatizo kubwa linalowasumbua vichwani ni kupoteza ubunge wao, kungekuwa na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania CCM kimefungua kurasa mpya ya mabadiliko makubwa ndani ya nchi yetu

    Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi...
  20. JamiiForums Tanzania Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

    Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!" Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…