ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Wana-CCM vileeni vyama vya upinzani visife

    Kuna watu bila kujali itikadi yao ya kisiasa ambao kazi yao ni siasa. Watu wa aina hii lazima wafanye siasa maana maisha yao yote yanategemea siasa. Kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa na mwanasiasa. Mwanasiasa anaweza kufukuzwa na wenzake kutoka ndani ya chama au anaweza kukihama chama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

    Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji. Nao...
  4. JamiiForums Tanzania Nitajiunga CCM Simba akishinda leo

    Nitajiunga na CCM endapo Simba watashinda mechi ya leo bila kubebwa na marefa sioni beki za kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasipate matokeo gemu ya leo.
  5. JamiiForums Tanzania Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  6. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

    Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi. Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo? Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020. HOTUBA KWA UFUPI CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

    Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho. Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara...
  9. JamiiForums Tanzania Wapinzani msimkatae Membe kwa sababu ya Lowassa na Sumaye

    Mwl Nyerere alishaweka nadhili yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika. Kwa vyovyote vile Mh. sio mwanasiasa wa uzito mdogo kwenye siasa za Tanzania. Kumfukuza na kumpokea kwenye chama Cha siasa kunaleta...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa CCM azomewa na Wananchi kwenye Mkutano wa Waziri wa Mifugo Luhaga Mpina

    Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza. Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina. Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

    Hapa akizuga kukamatwa ili ionekane hakutumwa Hapa akifanya kazi halisi aliyotumwa kuitekeleza ya kupokea walioitwa wanachama wa Chadema , hakuna mwanaccm wala mwingine wa chama kingine . Swali ni hili , kazi hii aliyopewa na kulipwa ujira wake ataweza kuifanya au itamtokea puani ? ...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

    Chadema yajutia kupokea waliokatwa majina CCM CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinajutia uamuzi kiliochukua wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuchukua wale waliokatwa kutoka CCM ambao sasa wamerejea katika chama chao cha zamani. Akizungumza ofisi za Makao...
  13. JamiiForums Tanzania Ubunge Simanjiro waibua balaa CCM, Millya maji ya shingo

    Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu . Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya . Ameandaliwa raia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wapinzani wanaohamia CCM wanaahidiwa kugombea, Je CCM asilia hawatagombea uchaguzi ujao?

    Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni. Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinachomfanya Dkt. Bashiru aweweseke hadi kutamani Membe arejee CCM?

    Kutokana na kauli alizotoa mfululizo katika siku chache zilizopita, mtu yeyote hana budi kujiuliza swali, kulikoni tena Dkt Bashiru amepoa na kutaka kujirudi hadi "kutamani" Membe aweze rejea CCM? Ametamka mwenyewe Dkt Bashiru, akiwasihi wanaccm wenzake, wasisheherekee kufukuzwa kwa kada...
  16. JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Milango kwa wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamehewa iko wazi

    CCM wanamuogopa B. Membe? Kwanini kauli hii ya Katibu Mkuu? Nimejiuliza kwanini asingeonywa badala yake wanamfukuza tena wanamtaka ombe radhi na kurudi? "Milango wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamemeha iko wazi, mimi tangu nimefika nimeshasaini barua za misamaha ya waliofukuzwa 14...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa CCM Wakitwangana kugombea posho

    Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko, jionee mwenyewe.
  18. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi

    Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini. Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye...
  19. JamiiForums Tanzania Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

    Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

    Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa. Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…