cctv

CCTV stands for Closed-Circuit Television. It is widely known as video surveillance.

Unlike regular television broadcasts that are sent out to the public, "closed-circuit" means the video feed is transmitted privately to a specific, limited number of monitors
  1. JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  2. JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muumini anaswa na CCTV akiiba sadaka Kanisani

    Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kosa la kuiba kanisa Kanisani. Peter Muiya Irungu amenaswa na camera za siri zilizofungwa Kanisani hapo. Inadaiwa kuwa, Peter ni mmoja kati ya Waumini wazuri wa kanisa hilo na hajawahi kukosa ibada hata siku moja hivyo kitendo hicho kimewashangaza...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CCTV Footage of Embakassi East MP Babu Owino Shooting a DJ at a Night Club

  5. JamiiForums Tanzania Cctv camera installation Arusha

    CCTV INSTALLATION We are dealing with; ✴CCTV Camera Installation and Repair ✴LAN Installation ✴Computer Service & Repair ✴Electrical Fence Installation Also we can connect CCTV camera directly to your mobile phone. ️ Contract us : 📶0716128815 (Call & WhatsApp 24/7) Location: Arusha
  6. JamiiForums Tanzania Tunafunga CCTV Cameras (HD) kwa bei nafuu

    Tunafunga (HD) CCTV Camera kwa bei nafuu kulingana na mahitaji yako. Kuona eneo lako ukiwa mbali Kutoa Alarm Intruder motion detection via PIR and image verification Automatic Day/Night Mode with IR Filter Pia tunatoa Huduma za kiufundi kwa maswala yote ya ICT... Computer Motherboard Repair...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ndio CCTV Camera zinavyofanya kazi. Msitufanye mandondocha

    Hii ni salamu kwa Watakatifu wetu Vyombo vyenye Mamlaka, vinavyojua kazi zao vyema na Ambao hawayumbishwi na kelele zetu za Mitandao kuwafundisha kazi. Tafadhalini Angalieni namna CCTV za wenzetu waliopitwa na wakati zinavyofanya kazi. Likitokea Tukio lingine Mtafute namna nyingine ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…