Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC), imekabidhi vifaa vya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) vyenye thamani ya Sh181.1 milioni kwa ajili ya ufuatiliaji wa magonjwa katika mipaka ya Tanzania.
Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta za...