The Council for East and Central Africa Football Associations (Swahili: Baraza la Mashirikisho ya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati, French: Conseil des Associations de Football d'Afrique de l'Est et Centrale, Arabic: مؤتمر جمعيات شرق ووسط أفريقيا لكرة القدم, Amharic: የምስራቅ እና መካከለኗኛሙ አፍሪካ እግር ኳስ ማህበራት ምክር ቤት; officially abbreviated as CECAFA) is an association of the football playing nations in mostly East Africa and parts of Central Africa. An affiliate of the Confederation of African Football (CAF), CECAFA is the oldest sub-regional football organisation on the continent.
Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa
1966 - Semi-finals
1987 - Finalist
1988 - Quarter-finals
1990 - Quarter-finals
1992 - Finalist
2007 - Semi-finals
2009 - Semi-finals
2011 - Semi-finals...
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Simba Queens wameshindwa kufua dafu mbele ya Kenya Police Bullets wakikubali kichapo cha mabao 3-2.
Pambano hilo la nusu fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia...
Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni :
Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia)
Kenya Police Bullets (Kenya)
Yei Joint FC (South Sudan)
Simba Queens (Tanzania)
PVP Buyenzi (Burundi)
Kawempe...
Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league walijua mapema kwamba watakwenda kushiriki mashindano ya CAF 2024/25.
Namchukia kupita kiasi...
Salaam watu wa soka
Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno.
Tulisema mapema tunaenda kwenye mashindano haya kwa lengo la kujaribu wachezaji ikiwa ni mpango wa mwalimu. Ndio maana...
Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga.
Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi na mpaka sasa hatuoni kikwazo chochote kutoka kwao.
Tayari tumeshatoa taarifa kwa wachezaji wote...
Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu
Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye...
Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia.
Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake...