Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo...