Wiki jana nilikuwa Posta DAr kwenye hicho kituo ambacho wanasiasa wanakisifia eti ni "one stop center" ambacho kinahusisha Maafisa Biashara, watu wa Brela, RITA, TRA, NIDA, Benki ya CRDB na taasisi zingine.
Ukweli hao watu baadhi yao wana maneno yale yale kama ambavyo walikuwa kwenye Ofisi...