ceo wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ni wakati Sahihi Jemedari Saidi kuwa CEO wa SIMBA

    Kwa jinsi mwamba anavyopambana kwa maslahi ya Simba, ukomavu na uzoefu wake. Na kwa kuwa Sasa tuna CEO wa mpito tu Nadhani hivyo viatu vinamtosha Jemedari. Indirectly amekuwa ndio mshauri mkuu na main agenda driver wa Simba. Kongole kwake!
  2. CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  3. Simba mnatuleteaje CEO ambaye ni shabiki wa Yanga?

    Simba ijitathmini tena kuhusu huyu CEO mpya,haiwezekani shabiki wa Yanga aje kuwa CEO wa Simba,hatutaki mamluki kama alivyokuwa Manara,mbinu za kivita zinazojadiliwa Simba yeye anapeleka upande wa pili. Huyu CEO aondolewe mapema kwa maslahi mapana ya timu. Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda...
  4. CEO wa Simba SC kwa sasa tunataka tu kusikia 'Vyuma Vipya' vikitua Msimbazi na si 'Maupuuzi' yenu mengine sawa?

    Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
  5. CEO wa Simba SC tuombe Radhi upesi kwa Kutudanganya leo wana Simba SC katika Interview yako

    Haya baada ya Kutudanganya wana Simba SC (GENTAMYCINE nikiwemo) na Wadau wa Soka / Michezo leo katika moja ya Interview yako kuwa Bonus inayodaiwa na Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni Ishirini tu. CEO wa Simba SC Mimi GENTAMYCINE nakuambia tena Nikijiamini kabisa huku nikiwa na Urafiki...
  6. N

    Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  7. Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  8. Nimeamua Kukisanua: Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'anatukanwa' mno na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila hana jinsi

    Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally. Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally yuko very normal ila ukweli ni kwamba ana Maumivu makubwa Moyoni hasa la Kutukanwa mara kwa mara na...
  9. M

    SI KWELI CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

    CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
  10. Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

    Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba. Mwenye Nguvu mpishe tu. Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita. Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
  11. CEO wa Simba na Morrison nani anasema ukweli?

    CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO. Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha...
  12. CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

    CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
  13. M

    Madam Barbara ni CEO sahihi ndani ya timu yetu pendwa Simba

    Ni wazi mwanadada huyu anapitia kipindi kigumu na si ajabu hakujua ugumu wa kazi kabla ya kukubali kufanya ya kondoo katikati ya kundi la mbwa mwitu. Pengine angejua tabia na desturi za watu wa nchi hii wanaojiita watu wa mpira asingekubali kuajiriwa kufanya kazi anayoifanya. Naamini yeye...
  14. K

    Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

    Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na...
  15. C

    Kama ni kweli Bodi ya Ligi wamemzuia CEO wa Simba kuingia kwenye derby basi huu ni uhuni mkubwa

    Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba. Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo. Ila nimejifunza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…