Manara kama mwajiriwa anawajibika kufuata sheria za kazi kwa mapana yake.
Lakini hili la kuanza kutukana mkuu wake wa kazi hadharani kwenye mambo ya kazi na tena kwa ushahidi kabisa! Hilo ni kosa kubwa. Pamoja na yeye kufanya kazi anayosema ni kubwa ya jasho na damu lakini kila mtu anafanya...