chad

  1. Ojuolegbha

    MV. Chad Hema: Jahazi Lililokwama kwenye Fukwe za Bahari

    Katika taswira ya kisanii iliyoibua hisia kali mitandaoni, chama cha CHADEMA kimeonyeshwa kama meli kubwa iliyokwama jangwani, ikiwa imebeba mizigo mizito inayotajwa kuwa ajenda za ushoga na ufadhili kutoka kwa mataifa ya Magharibi. Meli hiyo, iliyopewa jina "MV. Chad Hema," inaonekana kugubikwa...
  2. Jaji Mfawidhi

    Wanawake tunataka 50/50 kwenye mission za vita huko DR, Sudan na Chad !

    Imekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwazi, upendeleo , kuwezeshwa na makongamano mengi , Bunge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT LINE, kupigana na M-23, kuingia machimboni. Covid-19 wamekaa bungeni, zaidi ya miaka 15 na bado...
  3. Bushmamy

    Tetesi: Arusha: Kada wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa mtaa kwa kupitia chama hicho apotea

    Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa. Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi. Hata...
  4. The Sheriff

    Rais wa Senegal, Bassirou Faye: Ufaransa ifunge kambi zake za kijeshi nchini Senegal. Hii ni nchi huru; hatukubaliani na uwepo wa kambi hizo

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema kuwa Ufaransa inapaswa kufunga kambi zake za kijeshi nchini humo, wakati taifa hilo linajiandaa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa wakati wa ukoloni. Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amekiri kuwa vikosi vya...
  5. econonist

    Boko Haram waua wanajeshi 40 wa Chad

    Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisini kwake. Shambulio hilo limeripotiwa kutokea katika kisiwa cha Barkaram, eneo kubwa lenye...
  6. britanicca

    Pre GE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

    Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa...
  7. Miss Zomboko

    Idriss Deby Itno ashinda uchaguzi Chad

    Kiongozi wa kijeshi nchini Chad Mahamat Idriss Deby Itno ndiye mshindi wa uchaguzi uliofanyika wiki hii, kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa usiku wa kuamkia Ijumaa. Matokeo hayo yamepingwa na mpinzani wake mkuu Succes Masra. Matokeo hayo yaliyokuwa yanatarajiwa Mei 21, yametolewa wiki...
  8. JanguKamaJangu

    Wanajeshi 320 wa Sudan wakimbilia Chad wakitoroka mapigano nchini mwao

    Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jumatano. Waziri wa ulinzi Jenerali Daoud Yaya Brahim aliuambia mkutano wa waandishi wa habari kwamba “Waliwasili kwenye ardhi yetu, walipokonywa silaha na...
  9. MK254

    Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad

    Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao..... No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad region in Borno State. The incident reportedly happened at Mukdolo village located in Gamboru-Ngala...
  10. JanguKamaJangu

    Chad: Waandamanaji 260 wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki. Zaidi ya watu 400 walikabiliwa na mashtaka, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mkusanyiko usioidhinishwa...
Back
Top Bottom