chad na ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chad yasitisha makubaliano ya ushirikiano wa kiulinzi na Ufaransa. Wachambuzi wanasema Rais ameonesha hana imani na Ufaransa

    Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Deby Itno Serikali ya Chad imeamua kusitisha makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi na Ufaransa, ikiwa ni hatua ya kihistoria ya kujipambanua upya kuhusu uhuru wa kitaifa. Hatua hii inakuja zaidi ya miongo sita tangu taifa hilo la Afrika ya Kati lipate uhuru wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…