My two cents from a distance.
Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM.
Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli.
Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...
Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono
Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda mrefu juu ya nchi yetu na matamanio yao kwa wananchi
Pili haikuwepo haja ya kuanza kuchumbua masuala...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam
Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo:
1. Kushughulikia saikolojia ya kushindwa na kushinda kwa wanachama kwa kuonyesha wazi kuwa ushindi ni wa chadema yote na yeye Lissu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.