My two cents from a distance.
Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM.
Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli.
Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...