The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.
Wanaukumbi
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.
Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya...
Mpo salama!
Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki.
Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA.
Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA.
Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha...
Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala wao kuapishwa na kuto kupewa Fomu licha ya kuwa siku ya uchaguzi ni kesho.
Akizungumza wakati...
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa mkoa huo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za...
Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa mbali na hiyo ni baada ya kuenguliwa kwa majina ya wenyeviti na wajumbe kwa asilimia 90% huku...
Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.
Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.
PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa.
Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini.
Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
Wakuu,
Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa!
Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina🤣🤣😂😂 sasa analalamika kuonewa wapi? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Angalia video hapo ucheke na wewe.
Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa
Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa.
Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia...
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa...
Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.
Soma Pia: Rais Samia...
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake.
Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina...
"Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.