chadema arusha

The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Kaskazini tukubali ukweli kuwa Mbowe ameshastaafu na Sasa Chama ni cha Taifa zima, tumpe ushirikiano Tundu Lisu!

    Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha Mlale unono ๐Ÿ˜€
  2. Pre GE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

    Wanaukumbi Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche. Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya...
  3. Pre GE2025 Mbeya, Arusha, Mara ndio ngome za CHADEMA kama wamemkataa Mbowe, kama atashinda tafsiri yake ngome hizo zimeanguka. CHADEMA kwisha!

    Mpo salama! Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki. Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA. Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA. Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha...
  4. LGE2024 Mawakala wa CHADEMA Arusha ngoma nzito, wadai kukosa fomu za kiapo

    Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala wao kuapishwa na kuto kupewa Fomu licha ya kuwa siku ya uchaguzi ni kesho. Akizungumza wakati...
  5. LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kilimanjaro, Gervas Mgonja azungumza tuhuma zilizofanya akamatwe na Jeshi la Polisi

    Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa mkoa huo...
  6. LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za...
  7. LGE2024 CHADEMA Arusha: Wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa mbali na hiyo ni baada ya kuenguliwa kwa majina ya wenyeviti

    Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa mbali na hiyo ni baada ya kuenguliwa kwa majina ya wenyeviti na wajumbe kwa asilimia 90% huku...
  8. Pre GE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

    Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema. Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original. PIA SOMA - LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
  9. Pre GE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

    Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa. Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini. Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
  10. LGE2024 Wanachama wa CHADEMA Arusha waliodaiwa kupigana wamjibu Lema, "Lema amekuwa mtu wa sarakasi, anachukua watu vichochoroni"

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
  11. LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

    Wakuu, Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa! Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sasa analalamika kuonewa wapi? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Angalia video hapo ucheke na wewe.
  12. LGE2024 Arusha: CHADEMA yatangaza Maandamano kupinga Ukiukwaji wa Taratibu za Uandikishaji

    Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa. Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia...
  13. Tanga: CHADEMA yakutana tena na Familia ya Ally Kibao, Yatoa Rambirambi

    Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa...
  14. J

    Pre GE2025 CHADEMA kuzindua Operesheni KUCHA ( Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi)

    CHADEMA Kanda ya Kaskazini Leo inazindua Operesheni KUCHA yaani Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi Wote mnakaribishwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  15. Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

    Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini. Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro. Soma Pia: Rais Samia...
  16. M

    Freeman Mbowe hastahili huduma ya Balozi wa mtaa anaoishi

    Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake. Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina...
  17. Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ