chadema ccm

  1. Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

    Wakuu, Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa =================================================== Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
  2. Pre GE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
  3. K

    Siasa ya Trump inavyoathiri harakati za Lissu na CHADEMA

    Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu. Kwamba kupitia...
  4. J

    Kwaheri Chadema ukifika Uendako wasalimie NCCR Mageuzi, CUF na TLP waambie CHAUMA anawasalimia sana!

    Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo CUF nayo ndio wale wale Sasa ni zamu ya chadema Nawatakia uchaguzi mwema!
  5. J

    Nimepitia Hotuba zote za mchungaji Msigwa kuhusu CHADEMA na kama anayosema ni kweli lazima Polisi wataifuatilia kwa makini!

    Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu. Komredi Makalla alitumia akili kubwa kumvuna mchungaji Msigwa Kutoka CHADEMA kwa wakati sahihi kabisa kwa sababu ataeleza Siri...
  6. B

    CHADEMA na CCM wakutana msibani

    Mbalizi, Tunduma Road Tanzania VITUKO MSIBANI CHADEMA NA CCM WASHIKANA PABAYA KILA MMOJA AONYESHA UWEZO WAKE https://m.youtube.com/watch?v=IIW7fpPFuj8 Kufuatia msiba mzito wa aliyekuwa mwanachama kindakindaki kamanda wa CHADEMA aliyegusa maisha ya wakaazi wa Tunduma Road Mbalizi, viongozi wa...
  7. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  8. P

    Pre GE2025 Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  9. CHADEMA wamehalalisha haramu 'Covid-19' na Ruzuku

    WanaJf, salaam tena! Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA (a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina...
  10. CHADEMA fanyeni Maridhiano na wabunge 19 kama mnavyofanya na CCM, mtawashangaza maadui zenu

    Hakika nimefurahishwa sana jinsi Rais Samia anavyofanya siasa zake. Hakika huyu mama anaijua siasa sana kuliko mtangulizi wake, hayati Rais Magufuli. Kitendo cha kukubali kufanya maridhiano na Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, wakati hayati Rais Magufuli aliombwa na Mbowe lakini alikataa...
  11. Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  12. CHADEMA wanafurahia sana misururu ya watu wanapopita mijini. CCM wao wanajijenga mashinani na hawana mbwembwe

    Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita! Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
  13. Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  14. Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
  15. CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  16. Tundu Lissu una uhakika kuwa tatizo la Watanzania ni bei ya nyama kuwa sawa na ya maharage?

    Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage? Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele! I'm very...
  17. K

    Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  18. Uchaguzi 2020 Mlipopanga kususa mlijadili haya? Mmejitakia catche 22!

    1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi? 2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge? 3. Kuna uchaguzi mkuu karibuni na itakuwa kichekesho kushiriki wakati mmesusia wa local government? 4...
  19. Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano!

    Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano! Mwisho Ado akaongeza "takataka" binafsi za kudai tume huru na katiba mpya! Yaani kichekesho! Kumbe walisusa huku kiroho kinauma? Walidanganyana wataitwa? Kiongozi...
  20. Viroja vya CHADEMA havina ukomo

    Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura. Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao. Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…