Habari wakuu,
Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu alikuwa anafuatilia post ya Ualimu na nyaraka zinaonyesha/referr wake ni Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa...
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...