Wakuu,
Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila idhini ya chama (kama wanavyotuambia kuwa hawakurusiwa), lakini katika kipindi kile ambacho hakukuwa...