Wakuu Salaam nimekutana na taarifa mtandaoni ikisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia Chama Cha Mapinduzi CCM, Uhalisia wa taarifa hii...