Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
Wakuu hii taarifa nimekutana nayo Facebook je, ni ya kweli?
𝐁𝐎𝐍𝐈 𝐘𝐀𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐔𝐙𝐔𝐋𝐔 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐏𝐖𝐀𝐍𝐈
Habari za ndani kabisa ya CHADEMA zinasema bundi ameendelea kulia; safari hii Boni Yai akitajwa kuwa mbioni kujiuzulu kutoka nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?
Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?
Kama chadema ina uozo, he si...
Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani;
"CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.
Uchaguzi huu ulifanyika Kibaha Mkoa wa Pwani
Dalili si nzuri kabisa kwa upande wa huyu muungwana tena zimejidhihirisha wazi mapema kweli, ana kibaru kigumu na mtihani mzito sana kurlekea uchaguzi huo muhimu wa kanda ya Pwani. Kiufupi kimbe jamaa hakubaliki wala hatakiwi bana pwani.
Ili walau kukwepa fedheha atakayokumbana nayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.