Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii.
Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
Kanda zote za Chadema zimeshafanya chaguzi za Viongozi wake isipokuwa Kanda ya Kaskazini pekee
Mwenyekiti wa sasa wa Kanda ya Kaskazini ni mh God bless Lema lakini muda wake wa kikatiba umekwisha
Ni hilo tu 🐼
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti...