NB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu...