Wakuu,
Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa.
Kwamba...
TAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.