chadema kuvamia vituo vya polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi mbona mnatoa maswali magumu sana mnapokuwa active suala linalohusu CHADEMA

    Wakuu, Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa. Kwamba...
  2. Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

    TAARIFA KWA UMMA Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…