Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimetangaza msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi hadi pale masuala kadhaa yahusuyo haki na usawa wa uchaguzi yatakapotatuliwa.
Akizungumza katika kikao cha Baraza la Mashauriano la Chadema Mkoa wa Mara kilichofanyika wilayani Butiama...