Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda...