chadema na polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  2. Pre GE2025 Hivi inteligensia ya Polisi ipo CHADEMA pekee?

    Najiuliza swali kubwa Sana. Hivi inteligensia ya Polisi wa Tanzania ni Kwa CHADEMA tu?. Yani CHADEMA ndio pekee wanaomulikwa na polisi? Binti anabakwa na vijana Sita na polisi hawajui mpaka Video ilipowekwa hadharani ndipo wakaanza kuhaha ila mpaka Leo hakuna hatua iliyochukuliwa. Nikawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…