Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga matukio hayo zimekataliwa, wakidai kuwa haki haikutendeka. Hata hivyo, wamesisitiza kuendelea kupigania...