Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu
Fungueni Chadema Trust Fund ambayo iwe na account yake maalumu ya uwekezaji nashauri pale UTT. Hii trust fund...