chadema tusiwe kama nzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

    Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…