Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo