Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.
Moja ya matatizo makubwa ya siasa zetu ni ukosefu wa a clear vision, ya unataka nini, unataka kufika wapi, utatumia njia...