chadema vs ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

    Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya. Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
  2. J

    Mdahalo kati ya kijana wa Chadema vs CCM kuhusu " No reforms, no elections. " Kijana wa CCM azidiwa kwa hoja.

    ..kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja. ..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko. https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
  3. M

    Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

    CCM vs CHADEMA. Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu? CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa. Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
  4. J

    Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

    Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
  5. Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

    Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo. Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla. Angalia hata umaarufu wa matukio haya mawili: uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma na uchaguzi...
  6. M

    Pre GE2025 CCM haimhofii kiongozi yeyote wa upinzani nchi hii, wala msipoteze muda wenu

    Chama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa kiwango cha kimataifa. Tena mimi natamani sana Lissu, Heche na Lema ndio wawe viongozi wake ili...
  7. Pre GE2025 CHADEMA hamna uwezo wa kuifanya chochote CCM kwa namna yeyote ile

    Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi. Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile. Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM...
  8. Pre GE2025 CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…