Wakuu,
Uchafuzi wa Serikali Za Mitaa bado unaendelea.
Hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea kimeeleza kusikitishwa na hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wake kuelekea uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa, licha ya wagombea hao kuwa na sifa stahiki...
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali...
Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa.
Tutarajie ya mwaka 2019?
Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.