Wanachama na viongozi 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Viktoria wamekamatwa na Polisi wakiwa njiani kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda.
Makada hao akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Viktoria, Zakaria Obadi na wenzake wamekamatwa leo Jumatano...