Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam.
Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Lema amesema walipata taarifa kuwa ukumbi waliokuwa...