chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

    Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi: Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA hakutekwa, alijificha ili asigombee nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa

    Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa alitekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mnano...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Ivishirikishe Vyama Vingine Katika Kutoa Msimamo wa Pamoja Kuhusiana na Uharibifu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake. Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

    Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Kuna mgogoro mkubwa unakuja ndani ya CHADEMA

    Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha. Aidha, ameongeza kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukosoaji kwa Serikali kunaiua CHADEMA

    Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya kumng'oa huyu mkoloni mweusi

    Nikiwa kama mpenda demokrasia ya kweli na mtu niliyefadhaishwa na namna chaguzi zetu zinavyoendeshwa. Ningependa kuchangia yafuatayo kwa chama cha CHADEMA, chama hiki angalau kinabeba matumaini kwa wapenda demokrasia ya kweli 1. Chama kianzishe RUNINGA na RADIO yake, ndani or hata nje ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipokee rambirambi wala salamu za pole kutoka kwa wale wanaowaua kwasababu za kisasa

    Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo. Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA msipotumia akili huo mgao wenu wa Wabunge mlioahidiwa mtajikuta mmepewa Mbunge mmoja tena, achaneni na maridhiano

    Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

    Wakuu, Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Uandikishaji wa Wapiga Kura Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303 Kupiga...
  12. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Polisi wafanya uchunguzi wa tukio la mtu aliyekamatwa na kura feki zilizokuwa zimeshapigwa

    Wakuu, Niseme tu kwamba nashangazwa na wingi wa matakamko ya polisi siku mbili hizi, yaani ni bandika bandua! PIA SOMA - LGE2024 - Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: Jeshi la Polisi linawashikilia Gidion Siame na Fiston Haonga wa CHADEMA kwa kosa la kujeruhi

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57) ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Momba CHADEMA wote Wakazi wa Kijiji cha Nakawale...
  14. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

    Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya". Ili majogoo...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Babati: Wagombea wa CHADEMA hawakuondolewa kwa uonevu, mtu hawezi kuwa wakala na mgombea kwa wakati mmoja

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo vs CHADEMA: Kipi ndio chama kikuu cha upinzani?

    Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu Kati ya act na chadema Kipi ndio chama kikuu Cha upinzani maana Kila redio kwenye taarifa za habari...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Wakala na wagombea wa CHADEMA wakamatwa na Jeshi La Polisi kwa kuchukua boksi la kura kituoni

    Wakuu, Wakala wa Chadema Edward Odingi ameshikiliwa na jeshi la polisi mara baada ya kuchukua boksi la Karatasi za kupigia kura na kuondoka nazo akiwa na mgombea wake Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la polisi Mkoani mwanza Wilbrod Mutafungwa askari aliyekuwa akilinda katika kituo hicho...
  18. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi: Taarifa za kukamatwa, kuvunjwa mkono wagombea wa CHADEMA zimetengenezwa na kuongezwa chumvi

    Wakuu, Polisi safari hii ni boko baada ya boko! Siku hizi mbili yametoka matamko naona karibu ziko zote toka nianze kufolo page za polisi TZ. ===== TAARIFA KWA UMMA Zipo taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii na Vyombo vingine inayoonyesha kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Katavi, Roda...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA

    MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Tukio hilo limetokea Novemba 27, 2024 majira ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni bendera ya chama chenu, rangi nyekundu ni ishara kuwa mnataka nchi kwa kumwaga damu, hamtafanikiwa hadi siku ya kiama

    Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…