chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

    Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima. Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani. Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huenda huu ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Siasa za Peter Msigwa

    Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T ) Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema zaidi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Oct 2025. Duru za siasa za Upinzani zinamtaja Peter Msigwa kuwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kukemewa na kila mpenda demokrasia, anaibomoa CHADEMA

    Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake. Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini. 1...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wana-CHADEMA kuhusu vipindi vya uongozi katika chama chenu

    Swali maalum kwa makamanda. Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo? Tuelewesheni ili tuelewe huko uongozi ukoje maana vyama vingine tumeona mtu kapiga miaka kumi anastaafu sasa kwenu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekuwa Talk of the Town, Propagandist wake wako vizuri

    Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi lilimgarimu Uspika wa Bunge tukio ambalo lilikua la ajabu na la kwanza kutokea Duniani. Hata hivyo Wataalam...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

    Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na kufikiri vyema anaona wazi kabisa kuwa chama hiki kilichopata kujizolea umaarufu na kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

    Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA" 2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula aonya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA

    Watu waliohujumu wenzao na kupora kura za Uchaguzi Mkuu wa 2020 hawana tofauti na watu wanaohujumu wenzao katika chaguzi zao ndani ya vyama. Kama Chadema watasahau machozi na maumivu ya kuhujumiwa Uchaguzi wa 2020, na kama pia watashindwa kusimamia haki katika chaguzi zao za ndani basi watakosa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

    Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa. Msigwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

    Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥 Ahsanteni.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA watafute mgombea mwingine wa urais, Tundu Lissu, Mbowe, Msigwa, Sugu na John Mnyika warudi bungeni! Nchi itakuwa salama zaidi

    Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni. Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

    Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa aingia kwa kishindo Singida kusherehekea Birthday yake. Je, Tundu Lissu atahudhuria?

    Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na CHADEMA (COVID 19) ameingia kwa kishindo wilayani Mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake Kadhalika Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

    Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia

    CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia. Mimi ninawasihi wasikate tamaa kwenye nyakati hizi ngumu ila nao wajishushe na kwenda kumwomba msamaha aliyekuwa hawara wa Dr Slaa kwa kumtelekeza pamoja na kwamba alikuwa mhanga wa maandamano ya Januari 5, 2011...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti Kanda ya Kaskazini

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii --- Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki tunachoelekea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi Mkuu 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…