chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi inayohitaji mtu mwenye hekima, busara, staha na nidhamu ya kiuongozi? Ni vipi chama kikuu cha...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa na uchaguzi wa CHADEMA

    Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

    Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akitahadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na Vita vya Gaza: Uchaguzi utakuwa mgumu kwa wapinzani 2025, CHADEMA ijpange

    Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani. lakini kutokana na ukandamizaji wanafunzi huko amerika na Polisi kutumia nguvu nyingi kinyume ca...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 patachimbika kwa moto huu, CHADEMA muwe na mipango hii ya kuingia Ikulu

    Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya Senegal. Cha kufanya CHADEMA ni kutokulaza damu kuanzia sasa hivi mpaka uchaguzi mkuu 2025. 1. Maandamano...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Maandamano CHADEMA: Moshi kwafukuta, CHADEMA yazizima, kweli watu wamechoshwa na CCM na serikali yake

    CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana Moshi mmeonesha njia!
  10. JamiiForums Tanzania Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

    Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari. Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

    Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga. Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwamba wa siasa za kisasa, Freeman Mbowe, leo anaongoza Maandamano ya Amani ya kupinga ugumu wa maisha na sheria mbovu za uchaguzi Mjini Tanga Usiondoke JF, Maana tutakuwepo hapa kukuletea kila kinachoendelea. =========== Tanga moja hiyo:
  16. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA inahitaji tume huru ndani ya Chama kabla ya kudai tume huru ya Taifa ya Uchaguzi

    Nimeshuhudia na kushiriki chaguzi nyingi ndani ya Chadema na ndani ya CCM,chaguzi nyingi ndani ya vyama vyetu zinavunja katiba za vyama hivyo kwa makusudi kabisa,wasimamizi wa chaguzi hizo kwa kuwa wanakuwa na mamlaka ya nafasi za uongozi kutoka ngazi za juu,hutumia mwanya huo kufanya kadri...
  18. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Boniface na Malissa: CHADEMA yatoa neno

    Ujumbe wao huu hapa Pia soma!
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mizizioloji? Pamoja na mvua kubwa kila kona ya Nchi watu wanajitokeza kwa wingi kwenye maandamono ya Chadema

    Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji? Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo Muungano hoyee
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

    Bila kuungana na vyama vingine dhidi ya CCM madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia watashindwa vibaya mno uchaguzi mkuu2025. Kama hiyo haitoshi, ubinafsi, kutokuaminiana, uchu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…