chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahariri wa Magazeti ya Leo wametoa Taarifa ya Ruzuku ya CHADEMA kwa Kuwasuta na Kuwashushia?

    Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa. Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie. Mmenikera sana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali. Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
  3. JamiiForums Tanzania Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana aitaka chadema kuthamini nia njema ya rais samia katika maridhiano

    KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO Na Mwandishi Wetu MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema iliyooneshwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutaka maridhiano inapaswa kuendelezwa na vyama vyote vya...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

    Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee Ona hiyo attachment hapo chini.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CHADEMA ni kuogopa kusahaulika na sio kushindwa. Kuratibu maandamano ni kuonesha uwepo wao. CCM fanyeni haya...

    Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea kuutafuna upinzani mpaka mifupa. Kitendo Cha CHADEMA kuambulia mbunge wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti...
  7. JamiiForums Tanzania Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

    Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kinana akiri kwamba CCM imeondoa kesi 9 za CHADEMA Mahakamani bado 2 wanazishughulikia: kumbe kesi zinafunguliwa na CCM?

    Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki. Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa...
  9. JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3. Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

    Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu . Hii ni leo
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitatokea nini endapo vyama vingine vya upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

    Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano?? swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza maandamano majiji matatu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanawataka wawapitishie sheria nzuri za uchaguzi, na wakaenda kuwapelekea maoni yao

    Mbombo ngafu, hii imekaaje? CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na familia ya Ben Saanane nendeni kwa Makonda awasaidie kumtafuta

    Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa Makonda ni tumaini linalochomoza la wanyonge kuwapatia haki. Ni wakati muafaka sasa Familia ya Ben saa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    Maneno yasiwe Mengi. 1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu 2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema 3.. Katibu Mkuu - John Heche 4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali 5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
  16. JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

    Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni? Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti? Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Chadema chukueni ushauri huu, ni muhimu na wa muhimu na wa bure!

    Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana. Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana katika mambo haya. Wanajifanya hawakuona maandamano hayo. Kwa Sasa Kituo kinachofuata kiwe Mwanza. Na...
  18. JamiiForums Tanzania Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!

    Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu. Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…