chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Hatari kuu za kiusalama katika Taifa la Tanzania

    Nawasalimu wote. Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi yote poa. Kuna Mambo mawili ambayo huwa nayafikiria Sana lakini sipati majibu, na Mambo hayo ni...
  3. JamiiForums Tanzania IGP Sirro kinachofanywa leo na TBC ndicho kitakachofanywa na CHADEMA siku ya 4/09 huko Mara hivyo huna haja ya kuzuia

    Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI. Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba. Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni dhahiri mmeumia kisiasa ila hakuna budi mnatakiwa kuunga juhudi. Mkijitenga mtaumia zaidi

    Mtafanya nini zaidi ya kuacha mafarakano? Maana taifa lina hitaji amani na mshikamano. Sheria imefuata mkondo, mwamba yupo mahabusu. Hapa ni kusubiri sheria ifuate mkondo. Hakuna haja ya kuwa na vinyongo, ungeni juhudi ili taifa lipate maendeleo. Hii ina maanisha kuwa mkubali matokeo na kuacha...
  5. JamiiForums Tanzania Within a fraction of a minute, amani ya taifa letu ilirejeshwa baada ya vuguvugu la CHADEMA kuzimwa

    Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini. Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu. Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo. Kama...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

    Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani...
  7. JamiiForums Tanzania Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

    Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma. Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo Mungu ibariki Chadema Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

    Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA na wapinzani wengine, mkiendelea kucheza ngoma ya CCM na Polisi msahau kutawala

    Kinachoshangaza ni ninyi mnaoitwa vyama vya upinzani nchini kikiwamo chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, mmeshidwa kabisa kuwa na non-stop mission ambayo ingeweza kusaidia kuwapa nguvu kuwaambia watanzania yanayoendelea juu ya Katiba Mpya nchini ni uonevu na ni kuzuia haki ya msingi ya kila...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Uhuru wa Zanzibar

    Nimewasikia watu wakisema yafuatayo kuhusu Zanzibar: 1. Zanzibar inapaswa kupata uhuru kamili kutoka kwenye utawala wa Tanganyika. 2. Tanganyika ipate Katiba yake. Ninachojiuliza ni kuwa Zanzibar itakuwaje nchi huru kamili ndani ya Muungano? Nchi zikiungana si kila moja zinapoteza sehemu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

    Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana 1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious? 2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA mlimuita Jakaya Kikwete dhaifu, kulikoni tena leo mnamuhitaji?

    Wanaukumbi. Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Itakuwa sahihi CHADEMA kushiriki mazungumzo na Rais Samia huku Mwenyekiti wake akiwa ndani kwa kesi ya kubambikiziwa?

    Teyari tumesikia taarifa juu ya Rais Samia kukutana na viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini katika siku na tarehe ambayo bado haijawekwa wazi kwa umma huku mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Bwana Freeman Mbowe akiwa mahabusu kwa kesi inayolalamikiwa kuwa ni ya kubambikiziwa. Kwa hali ilivyo, ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA ilishajenga uhasama na wananchi, kujinasua ni ngumu sana

    Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa. Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi. Ni kweli kila nchi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  17. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi: Rais Samia hawezi kubadili mfumo akiwa na watu walewale

    Sitaki kuongeza chumvi, jionee mwenyewe
  18. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Chanjo tumechanjwa sasa Kazi iendelee

    Lilikuwa jambo la msingi kusimama kwa muda kupisha zoezi la chanjo kuanza bila ya kutatizika. Muda wa kuitumia karata ya wingi wetu vizuri ili kuyajaza magereza yao sawa sawa umewadia. Ni muhimu sana tukawaweka wazi wakatuelewa pasi na shaka kuwa: "hatuogopi kukamatwa na tuko tayari mno...
  19. JamiiForums Tanzania Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na CHADEMA, achananeni na dhana ya ukuu/ukubwa miongoni mwa vyama vya upinzani nchini

    Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na kuondoa inferiority complex miongoni mwa vyama vingine vya upinzani. Katika dhana hiyo hiyo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…