chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya undu Lissu na CHADEMA yake

    Kuna Mambo ya ajabu nimeyashuhudia na ninaendelea juu ya huyu Lissu na Chadema yake. Habari zake za kampeni zilikua zinahujumiwa na baadhi ya Vyombo vya habari zisitoke au kupungua umuhimu,lakini zinatoka.na watu wanahudhuria mikutano yake. Sijaona bango hata moja la Lissu lakini watu...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. _____ 1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM. 2...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji na mitaa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Mwenza wa CHADEMA, Salum Mwalimu aendelea na kampeni huko Same

    SALUM MWALIMU: MNAAMBIWA MZAE WAKATI HUDUMA YA MAMA NA MTOTO NI MBOVU Mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu akiwa Wilayani Same amesema, Rais Magufuli anawaambia watanzania wazae wakati huduma ya mama na mtoto ni mbovu. Amesema Serikali ya Dkt. Magufuli ambaye bi Mgombea wa...
  5. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma ========= UPDATES Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA na wagombea wazuri wazuri

  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

    CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni. Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi. Hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

    Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja. Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani. Huoni zile...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri - CHADEMA iongezee Timu ya kampeni na Lissu aende Majimboni

    Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana. Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA: Kuweka madini kama dhamana ya mikopo kunaleta ukakasi

    Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu madini wakati anafanya mrejeo wa ilani ya Chadema. Baada ya kuitafuta hiyo ilani na kukisoma hicho...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

    Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo. "Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijue vipaumbele kwenye Ilani ya CHADEMA vinavyoitesa CCM

  13. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

    Wapendwa watanzania wenzangu, Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kikiomba michango kutoka kwa watanzania katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokikabili chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Watanzania tuna utaratibu wa kuchangiana...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hawana mikakati thabiti ya kufanya kampeni

    Natumaini mko wazima. Nimeona nitumie haki yangu kikatiba kutoa maoni kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea. Niseme kwamba iko wazi CCM wako kimkakati zaidi kwenye kampeni zao. Hawafanyi makosa kirahisi. Ila tatizo ninaloliona ni upande wa upinzani kwa CHADEMA. Kwa kweli mwenendo wao...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

    Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea. Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa. === Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali. Katika Jimbo la Muheza...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

  17. JamiiForums Tanzania CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

    CCM MBEYA MJINI, WAIJIBU CHADEMA Na Elius Ndabila Wiki iliyopita Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walifanya mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa kuomba kura kwa Mh Lisu anaye gombea Urais ulihudhuriwa na watu wengi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo. Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…