Record yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na vijijini, huduma bora za usafirishaji wa relini, majini, ardhini na angani, huduma bora katika elimu...