RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.
NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance.
Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu...