Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
Iwepo tume huru kabisa.
Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini.
Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.
Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea.
CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
Nakumbuka chaguzi ndogo kuanzia Dr Lamwai enzi zile za Manzese hadi Dr Augustino Lyatonga Mrema nyakati za akina Cisco kule Temeke.
Lakini siku hizi chaguzi ndogo zimedorora sana, mfano jana.
Kwanini!....... Why?..........Ndauli?!!
Nawatakia Dominica yenye baraka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.